Kuna Haja ya Mataifa ya Afrika Kuachana na Unafiki Kuhusiana na Israel
Kwa waliokua miaka ya nyuma hadi miaka ya 80 watakumbuka namna mataifa mengi ya Afrika yalivyosusia utawala wa kikaburu na kibaguzi wa Afrika ya Kusini ya wakati ule. Msimamo huu dhidi ya ubaguzi na...
View ArticleEnd of ethnic kingpins is nigh
The miserable and sad attempt to crown National Assembly Speaker Justin Muturi as Mt Kenya kingpin is actual proof of the end of Kikuyu domination of Kenya.File | Nation Media GroupI don’t want to...
View ArticleMkoa Mpya wa Chato Mtendeeni Haki Hayati Magufuli
Hivi karibuni nimesoma kwenye vyombo vya habari juu ya mapendekezo ya kuunda mkoa mpya wa Chato mahali alipozaliwa shujaa wetu Hayati John Pombe Magufuli rais wa awamu ya tano aliyetutoka ghafla mwezi...
View ArticleMalipo ya Wabunge Hawa Ni Ufisadi Mwingine
Hivi karibuni rais Samia Suluhu Hassan aliwahakikisha na kuwaaminisha watanzania kuwa mapambano dhidi ya matumizi mabaya ya fedha na raslimali za umma yaliyoanzishwa na Hayati Dkt John Pombe Magufuli...
View ArticleTunamtaka Mchwa Anayetafuna Fedha Serikalini
Japo sina uhakika kama kuna pattern katika upigaji ulioibuliwa na waziri mkuu Mheshimiwa Majaliwa K. Majaliwa hivi karibuni, kuna uwezekano kukawa na mchezo huu katika wizara nyingine kama siyo zote....
View ArticleIsrael Needs To Rid of Itself of Apartheid Tab
Some people called Israel an apartheid country. The HRW (April27, 2021) notes that “Israel’s policies and practices towards Palestinians continued along the same trajectory, the situation, at least in...
View ArticleSpika Ndugai Tamatisha Mbeleko kwa Wabunge 19
Hii si mara ya kwanza wala ya mwisho kugusia sakata la wabunge 19 waliotimuliwa toka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) al maaruf kama Covid-19. Nasema hivi tokana na mkanganyiko, utata na...
View ArticleWhy JSC Is a Rogue Institution
Judicial Service Commission chairperson Prof Olive Mugenda, flanked by commissioners, announces their nomination of Justice Martha Koome’s nomination as the Chief Justice at the Supreme Court...
View ArticleELECTORAL DEMOCRACY : A CONTRIBUTIN TO POLITICAL EDUCATION.
Just about two weeks ago, on Sunday 16th May, 2021, Parliamentary bye-elections were held in the two constituencies of Muhambwe and Buhigwe, both located in Kigoma Region....
View ArticlePlease Gen. Museveni Stop ‘Pigs’ from Destroying Uganda
People Identified by the Great Ssebo (Pigs) or President Indicted Group of Slayers (Pigs) who don’t value life recently launched an assassination attempt on the life of Gen. Katumba Wamala, former...
View ArticleTuwanyonge au Kuwafunga Maisha Wanaohujumu Nchi Yetu
China, wizi, uhujumu uchumi na makosa mengine kama haya hupewa adhabu ya kifo ili ima kutoa onyo, kutenda haki au kukomesha kadhia hizi ambazo ni madonda ndugu yaliyofanya Afrika iwe shamba la bibi na...
View ArticleWabunge kama Taletale Wasitumie Bunge Kupotosha Umma
Hivi karibuni Mbunge wa Morogoro Mashariki Hamis Taletale, aliwaacha wengi hoi pale alipokuwa akichangia bungeni. Ikiwa ni mara yake ya kwanza kuchangia bungeni, alianza kwa mguu mbaya. Sijui ni...
View ArticleThis Is Canada the World Doesn’t Know
When the name Canada’s mentioned, many wrongly think’s a very advanced and non-discriminatory country. What a deceivingly wrong take! Currently, Canada’s in the news for all wrong reasons. There’s...
View ArticleJapo Si Daktari, Rais Daktari Mmepata
Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji mjamzito kwenye hospitali ya Mwananyamala. Kama mzazi anayejua uchungu wa kujifungua, SSH aliwake pembeni cheo kumchua, kumfariji na kumsaidia mwanamke mwenzake.
View ArticleFORMER PRESIDENT MWINYI’s AUTOBIOGRAPHY : A BRILLIANT, MASTER PIECE...
Verba volant, scripta manent” These Latin words mean that ‘what is spoken may be forgotten and lost, but what is written lasts permanently. Former Presdient Ali Hassan...
View ArticleRais Samia Anajua Anachofanya Hababaishi
Hivi karibuni, rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha makucha yake sawa na mtangulizi wake Hayati John Pombe Magufuli. Alipoapishwa, wengi walidhani kwa vile ni mwanamama atakuwa legelege wasijue...
View ArticleThe crass political photograph
By Makau MutuaProfessor at SUNY Buffalo Law School and Chair of the KHRC.What you need to know:The political photograph is a display of humanity posing in ways that the objects think is...
View ArticleWakati wa Vitendo kwa Wanawake ni Sasa
Wanawake wakimshangilia rais Samia Suluhu Hassan Rais Samia Suluhu Hassan alinifurahisha na kunikumbusha kitu kimoja pale aliposema, akihutubia wanawake kule Dodoma kuwa wanawake wana nguvu kuliko...
View Article