$ 0 0 Rais Samia Suluhu Hassan akimfariji mjamzito kwenye hospitali ya Mwananyamala. Kama mzazi anayejua uchungu wa kujifungua, SSH aliwake pembeni cheo kumchua, kumfariji na kumsaidia mwanamke mwenzake.