Hii manzi ya bwana mkubwa kiranja imefichwa wapi siku hizi? Tuliiandama hadi ujumbe ukafika? Au ndiyo mambo ya Dubai? Hakika Rahma Kharoos alitingisha kabla hatujamgutukia hadi akatimua mbio.