Judging presidential candidates
By Makau MutuaProfessor at SUNY Buffalo Law School and Chair of the KHRC.What you need to know:Your job isn’t to accept line, hook, and sinker – like a pit latrine – everything that comes out of a...
View ArticleNdoa za vibabu/bibi na vijana wa kiafrika ukoloni na utumwa mpya
Kisa cha bibi wa kizungu na kijana wa kiafrika nilichoshuhudia uwanja wa ndege mmoja–––sitautaja–––wakibusiana kimenisukuma kuandika haya. Kuna ukoloni na utumwa kimapenzi vimezuka ambapo waafrika...
View ArticleKuendelea, tufumue mifumo yetu ya kikoloni na kitapeli
Huwa siachi kujiuliza maswali ambayo si wengi huuliza au kujiuliza. Inakuwaje baadhi ya huduma au kazi kuzifanya au kuzitoa, lazima kusomea wakati nyingine hapaswi kusomea? Je huu si ubaguzi wa...
View ArticleWaliotaka kuingiza sum za kinyuklia nchini wasakwe na kukamatwa mara moja
Mheshimiwa Rais, nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Leo nakuletea kashfa ya meli ya MV Seago Piraeus Voy iliyokamatwa nchini Kenya ikielekea Tanzania ikiwa na bidhaa zenye sumu za...
View ArticleRais Samia si Wingu lipitalo
Japo mtifuano na mvivutano tunayoanza kuushuhudia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) vinaweza kuchukuliwa kama mambo ya kawaida kisiasa. Hata hivyo, siyo hivyo. Kuna namna. Kuna sababu nyingi hasa...
View ArticleSAYING GOODBYE TO THE YEAR 2021 : SOME PERSONAL MEMORIES OF THE OUTGOING YEAR.
As we say goodbye to the year 2021; presumably everyone, in his own way, will be running down his “memory lane”, in a quiet contemplation of all the events that occurred to...
View ArticleKwanini wahubiri wengi wa kisasa wamejigeuza wanasiasa?
Wakati maovu kama vile wizi wa mali za umma, uzembe, ujambazi, upofu, upogo, uzinzi, utapeli, uongo, uroho, roho mbaya, utoaji mimba, ubabaishaji na mengine kama na haya vikiongezea, wahubiri...
View ArticleThe rise – and fall – of David Ndii
Economist David Ndii. Lucy Wanjiru | Nation Media Group By Makau MutuaProfessor at SUNY Buffalo Law School and Chair of the KHRC.I’ve never heard anyone call Dr...
View ArticleMuda wa Kukomesha Wasabaya ni Sasa
Hivi karibuni kulikuwa na kesi ya mmoja wa wateule waliowahi kutumia madaraka vibaya, wakajisahau, wakajivuna, wakaamini binadamu wenzao huku wakimtelekeza Mungu na umma wake. Jamaa huyu ambaye bado ni...
View ArticleBarua kwa Mheshimiwa Spika Ndugai
Mheshimiwa Spika wa Bunge Job Ndugai, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sema kazi iendelee. Leo sitaki nikupotezee muda kwa kuzungusha. Juzi ulinishangaza sana. Nilishangaa siyo...
View ArticleJanga la Ukovi-19 Litufumbue Macho
Mwaka 2019, dunia iliamkia kwenye mstuko pale, kwa mara ya kwanza, ilipotangaziwa kuwa kulikuwa na janga liitwalo Ukovi-19 au Corona Virus-19 tokana na mwaka wa ‘ugunduzi’ wa janga hili. Wengi ambao...
View ArticleHAPPY NEW YEAR TO ALL OUR ESTEEMED READERS.
The new year 2022; which, as is customary for my family, found us inside our Nansio Parish Catholic Church, celebrating Holy Mass along with many other worshippers; in grateful...
View ArticleRIP MICROPHONE NDOOGUY
Dear Dishonourable Jobless NdooGuy, I am so convoluted to note here though a wee bit happily. It is about your political demise. If you didn't see it coming, what a false. Hither we are. It...
View ArticleBarua ya Wazi kwa CCM:Msiwaendekeza Kijani wapingao ndani
Japo mimi si mwanachama wa chama chochote, bado ninavitazama vyama vyote kwa jicho sawa hasa ikizingatiwa kuwa ndivyo wenye dhamana ya kuongoza taifa letu pale chochote kinapopewa ridhaa na watanzania....
View ArticleThe Press, bias and elections
By Makau MutuaProfessor at SUNY Buffalo Law School and Chair of the KHRC.American Vice-President Spiro Agnew – who left office in ignominy for felony tax evasion...
View ArticleTHE AFTERMATH OF SPEAKER NDUGAI’s RESIGNATION : THE MISGUIDED OPINIONS THAT...
Understandably, former Speaker Job Ndugai’s sudden announcement of his voluntarily resignation last week on 6th January 2022, quickly became the...
View ArticleBarua Rais, badili mfumo wetu wa elimu wa kikoloni na kukariri
Mheshimiwa Rais, nakusalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Japo zimepita siku nyingi bila kuwasiliana nawe, kuna mambo yaliingilia kati ambayo sitaki kuyataja. Hata hivyo, leo narejea...
View ArticleIs Western failing in Africa or Africa is failing western democracy?
Many people get it faultily vis-à-vis western democracies. Western democracy’s been synonymously with western countries, which glorify and reify themselves as being successful and mature ‘democracies’...
View Article