$ 0 0 Ngoma hii inaitwa Isukuti ya Waluhya wa huko Magharibi mwa Kenya. Huwa napenda miziki yao na kukumbuka nilivyoishi nao vizuri.