Alexandre-Ferdinand Nguendet ameteuliwa kuchukua mikoa ya rais wa mpito wa Central African Republic (CAR) Michael Djotodia. Nguendet anaingia madarani CAR ikiwa kwenye mparaganyiko kulhali. Tunamtakia kila la heri na aweze kurejesha utulivu katika taifa hili maskini sana barani.