$ 0 0 Bila shaka watanzania kila mmoja kwa namna yake wanamkumbuka baba wa taifa marehemu Mwl Julius K Nyerere Burito. Gwiji huyu ni kama anaishi japo kimwili alitutoka siku nyingi. Tuzidi kumuombea baba yetu Mwl Nyerere apumzika mahali pema peponi Amina.