Kwa tulisikia marehemu Benjamin Mkapa rais mstaafu aliyefariki majuzi akitangaza kifo cha baba wa taifa Mwl Julius K Nyerere, ni kama ilikuwa jana. Kwangu binafsi, hakuna matukio ninayoyakumbuka kama kifo cha Nyerere na baadaye mashambulizi ya kigaidi ya Septemba 11 kule Marekani. Kweli siku hazingandi. Lala pema Kambarage Julius Nyerere
↧
MIAKA 21 BAADA YA KIFO CHA NYERERE
↧