

Mwaka 2012 nilitabiri kuwa rais John Pombe Magufuli angechukua nafasi ya rais mstaafu Jakaya Kikwete. Bahati mbaya, sikufanya hivyo kwa kutundika kwenye blog yangu ukiachia mbali kumtaja kabla ya Cahama Cha Mapinduzi (CCM) kutoa mgombea wake. Mwaka huu sirudii makosa. Hivyo, natabiri kuwa professor Makame Mbarawa atakuwa rais wa Zanzibar na Mungu akimpa uhai ataweza kuwa rais wa Muungano kuchukua nafasi ya Magufuli. Kwa leo tuachie hapa.