Quantcast
Channel: Free Thinking
Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173

Ndugu Rais Hapa Usitumbue Bali Pia Ufunge

$
0
0
Maneno ya rais John Pombe Magufuli yanauma sana. Sijui wetu wameingiwa na mdudu gani.  Hivi kweli hapa  akikamata na kufunga kwa kutumia sheria za uhujumu uchumi ambazo hazina dhamana mtasema eti anavunja haki za binadamu? Namuomba Rais ahakikishe wahusika pesa waliyopewa inawatokea puani kama siyo masikioni. Kwanini watanzania wanaojiingiza kwenye upuuzi huu hawataki kumuelewa rais?


Viewing all articles
Browse latest Browse all 3173