Kama Treni Iachavyo Stesheni, Mwaka 2018 Nao Unatuacha kwa Wale Waliobahatika Kuuaga na Kuona Mwaka 2019. Nawatakieni Heri ya Mwaka Mpya 2019 nikiwaburudisha na Amaswazi Emvelo bendi ya Muziki toka Afrika Kusini iliyosifika miaka ya 70 na 80.
↧