![]() |
Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akishiriki ujenzi wa hospitali. Sijui viongozi wetu wa sasa wanatumia busara gani. Mgeni rasmi amevalia kana kwamba hajawahi kugusa udongo! |
↧
Je kiongozi kama huyu anafanana na anaowaongoza kweli?
↧